Saturday, September 3, 2016

JE UNGEPENDA MASOMO YA ZIADA KWA KOZI YA COMPUTER LEO?

Ndugu mtanzania bado hujachelewa!! kwa mafunzo bora kabisa ya computer kwa programs mbalimbali kama vile introduction to computer & windows, ms word, ms excel, ms publisher, ms power point, E-mail & internet na nyinginezo kibao onana na walimu mahiri upate ujuzi utakao kufanya uajiriwe au ujiajiri mwenyewe kwa bei chee!!

vilevile program maalum hufundishwa kwa wafanyakazi mbalimbali kutegemeana na kitengo au idara husika, programs hzo ni kama vile;
  • Hotel management system software
  • Employee management system software
  • Student registration software
  • Basic accounting packages
  • Adobe page maker, Adobe design na Adobe ullustrator
pia programs mbalimbali za ufundi wa computer (computer maintenance zinafundishwa)

kwa mawasiliano piga namba hii 0757363724/ email: poneramohamed@gmail.com

watu wa viwango vyote vya elimu mnakaribishwa


No comments:

Post a Comment